Simamia Mauzo, Stock na Ripoti Kwa Urahisi

Mfumo wa kisasa unaokusaidia kusimamia bidhaa, mauzo, stock na faida za biashara yako popote ulipo.

500+

Maduka

24/7

Support

99%

Uhakika
Mauzo ya Leo

450,000 TZS

Bidhaa

Faida

Stock

HUDUMA ZETU

Vitu Unavyoweza Kufanya

Usimamizi wa Bidhaa

Ongeza bidhaa, bei, quantity na simamia stock kirahisi.

Usimamizi wa Mauzo

Rekodi mauzo ya kila siku na mfumo upunguze stock automatically.

Ripoti za Mauzo

Pata ripoti za kila siku, mwezi na faida ya biashara.

Stock Control

Fuatilia bidhaa zilizobaki na epuka kuishiwa stock.